Kocha Arsene Wenger anatarajiwa
kufikia uamuzi wa kuacha kuinoa timu ya Arsenal baada ya kuitumika
kwa miaka 21.
Mmiliki mwenye hisa nyingi Stan
Kroenke, bado anamuhitaji kocha huyo aliyekatika shinikizo la
kutakiwa kuondoka na anataka Wenger aongezewe mkataba wa miaka
miwili.
Hata hivyo nyuma ya pazia katika
klabu hiyo ya Arsenal, kumekuwepo na imani inayoongezeka kwamba
Wenger ataondoka.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiwa ameshikilia kichwa kwa maumivu ya kipigo cha 5-1 kutoka kwa Beyern Munich


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni