Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akijibu hoja za wabunge mbalimbali waliochangia wakati wa kujadili
Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Ukimwi Bungeni Dodoma Februari 6, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
(kulia) akizungumza na baadhi ya wabunge mara baada ya kuhairishwa
kwa Mkutano wa Bunge Mjini Dodoma Februari 6, 2017 katikati ni Mbunge
wa Singida Mhe. Ashyrose Matembe.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akiteta jambo na Mhe.Hawa Ghasia nje ya viwanja vya bunge Dodoma Februari 6, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde (kulia) akizungumza na
Mhe. Machano Othman nje ya ukumbi wa Bunge Dodoma mara baada ya
kupitishwa kwa Taarifa ya Kamati ya Ukimwi na Dawa za Kulevya Februari
6, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira na
Muungano Mhe.January Makamba baada ya kupitishwa kwa Taarifa ya
Kamati ya Kudumu ya Masuala ya UKIMWI kuwa makadirio ya Bunge wakati
wa Mkutano wa Sita wa Bunge linaloendelea Mkoani Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akibadilishana mawazo na baadhi ya wabunge nje ya Ukumbi wa Bunge
mara baada ya kuhairishwa kwa Mkutano wa Sita wa Bunge Februari 6,
2017 Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira na
Muungano Mhe. January Makamba wakipongezana mara baada ya kupitishwa
kwa Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Ukimwi na Dawa za Kulevya Februari
6, 2017.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI
MKUU-DODOMA)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni