.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 14 Februari 2017

MSHAURI WA MASUALA YA USALAMA WA RAIS DONALD TRUMP AJIUZULU

Mshauri wa Masuala ya Usalama wa rais Donald Trump, Michael Flynn, amejiuzulu kufuatia mawasiliano yake na Urusi.

Bw. Flynn anatuhumiwa kufanya mazungumzo kuhusu vikwazo vya Marekani na Balozi wa Urusi, kabla ya rais Trump kuingia madarakani.

Inasemekana kwamba Bw. Flynn aliwapotosha maafisa wa Marekani kuhusian na yeye kufanya mazungumzo hayo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni