Watu watatu wamekufa na wengine
wawili wamejeruhiwa baada ya familia iliyokuwa ikitokea kwenye
shindano lililokuwa likifanyika Disneyland ndege yao yao kuangukia
nyumba mbili Jijini California
Ndege hiyo ndogo aina ya Cessna
ikiwa watu wazima wawili na vijana watatu, imeanguja jana na kulipuka
kisha kusababisha moto kwa eneo la wakazi wa Riverside, California,
Haikufahamika mara moja iwapo
wahanga wa tukio hilo ni waliokuwa kwenye ndege ama ni wakazi wa
nyumba zilizoangukiwa.
Askari wa vikosi vya uokoaji wakiwa juu ya bati la moja ya nyumba
Wakazi wa eneo hilo la Riverside wakiwa wamepigwa na butwaa wakiangali tukio la ajali hiyo



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni