Mtangazaji nyota na prodyuza wa
muziki Nick Cannon ameng'ara katika mchezo wa mpira wa kikaku wa NBA
wa nyota mbalimbali.
Cannon, 36 ambaye ni mume wa zamani
wa mwanamuziki Mariah Carey alichangia mno ushindi wa timu yao katika
mchezo uliopigwa New Orleans.
Mchango wa Cannon uliifanya timu ya
nyota wa Mashariki, kuibuka na ushindi dhidi ya nyota wenzao wa
Magharibi kwa vikapu 88-55.
Nick Cannon akifuatilia mpira uliokuwa juu huku akikabwa na Nneka Ogwumike
Nick Cannon akijaribu kumzuia prodyuza wa muziki mkongwe Master P
Nick Cannon akiruka juu kufunga kikapu katika mchezo huo
Nick Cannon akikumbatiana na mpinzani wake Master P kuonyesha michezo ni urafiki





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni