.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 12 Februari 2017

RAMBIRAMBI VIFO VYA MASHABIKI ANGOLA

Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za vifo vya mashabiki 17 na wengine kujeruhiwa katika tukio la watu kukimbia uwanjani kwa tishio la mabomu wakati wakati wa mchezo wa timu mbili zenye ushindani.

Maelfu ya mashabiki, wakiwamo watoto wadogo walianza kukimbia na wengine kukanyagana hali iliyosababisha vifo uwanjani.

Kwa taarifa zaidi, fuata link hapo chini
http://tff.or.tz/news/779-rambirambi-vifo-vya-mashabiki-angola

KILA LA KHERI YOUNG AFRICANS SC

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linachukua nafasi hii kuitakia kila la kheri timu ya Young Africans katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambayo hatua ya awali imeanza wikiendi hii.

Wakati Young Africans inacheza, kesho Februari 12, mwaka huu huku Azam itasubiri mshindi kati ya Mbabane Swallons ya Swaziland na Opara United ya Botswana katika michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF).

Kwa taarifa zaidi, fuata link hapo chini

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni