Watu wamejitokeza kwa wingi katika maeneo
tofauti nchini Brazil kusherehekea sherehe za Carnival zilizoanza leo na
kuendelea.
Sherehe hizo za mavazi
ya bei mbaya yaliyonakishiwa zinazofanyika kwa siku tano
zimehudhuriwa na maelfu ya watu ambao wamekuwa wakicheza mitaani.
Mwanadada akionyesha madoido yake wakati wa sherehe hizo za Carnival
Mavazi ya Carnival huwa yanamvuto wake kama inavyoonekana hapa
Huyu ni tausi wa dhahabu akiwa kwenye sherehe za Carnival
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni