.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 21 Februari 2017

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YAWAAGA WAFANYAKAZI WAKE WANAOHAMIA HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA NA CHUO KIKUU CHA TIBA NA SAYANSI SHIRIKISHI (MUHAS) KAMPASI YA MLOGANZILA

Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Agnes Kuhenga akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wanne wa Taasisi hiyo ambapo watatu kati yao wanahamia Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma na mmoja anahamia Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiongea na wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wanne wa Taasisi hiyo ambapo watatu kati yao wanahamia Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo Dodoma na mmoja anahamia Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam.
Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi hiyo wanaohamia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma na Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaammara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi hao iliyofanyika leo.
Baadhi ya Maafisa Wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na wenzao wawili wanaohamia katika Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo Dodoma na Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukurani ya kufanya kazi katika Taasisi hiyo Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Robert Mvungi ambaye anahamia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo mkoani Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukurani ya kufanya kazi katika Taasisi hiyo Afisa Muuguzi Mkuu Salome Kassanga ambaye anahamia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo mkoani Dodoma.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni