Tottenham iliyobakia na wachezaji 10
uwanjani imetolewa katika michuano ya Ligi ya Uropa na Gent baada ya
kutoka sare ya goli 1-1 katika uwanja uliojaa watazamaji wa Wembley.
Spurs, iliyokuwa imefungwa goli 1-0
bila katika mchezo wa kwanza hatua ya 32 bora, ilianza vizuri baada
ya Victor Wanyama kufunga goli kwa mpira shuti kali.
Wageni Gent walisawazisha kupitia
kwa Harry Kane aliyejifunga, na kuifanya Spurs kuhaha kutafuta
kufunga magoli mawili ya ziada jambo ambalo lilishindikana.
Victor Wanyama akiwa ameachia shuti lililojaa wavuni
Harry Kane akijifunga kwa mpira wa kichwa wakati akijaribu kuokoa mpira wa kona
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni