Chama cha Republican kimebainisha
mpango uliokuwa unangojewa kwa muda wa mbadala wa sheria ya huduma za
afya iliyopitishwa na rais Barack Obama maarufu kama Obamacare.
Mapendekezo ya muswada huo mpya wa
sheria ya huduma za afya unapendekeza adhabu kwa mtu ambaye hatokuwa
na bima ya afya nchini Marekani.
Chama cha Democrats kimeukosoa mara
moja mpango huo wa rais Donald Trump na kusema kuwa utapandisha
gharama za huduma za afya.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni