.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 13 Machi 2017

DK. SHEIN AREJEA ZANZIBAR BAADA YA KUHUDHURIA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM MJINI DODOMA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Wilaya Dodoma Mjini Christina Mndeme (kushoto) pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakati alipokuwa akiondoka katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo baada ya kumalizika kwa Vikao vya Chama cha CCM Ukiwemo Mkutano Mkuu maalum uliofanyika juzi katika ukumbi wa mpya wa Kiwete Hall uliopo nje ya Mji wa Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi wengine waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu malaaum uliofanyika juzi,[Picha na Ikulu.] 13/03/2017. Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni