.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 20 Machi 2017

KAMISHANA MPYA WA UHAMIAJI NCHINI AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN

SCO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao.
SCO 1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa ajili ya kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao [Picha na Ikulu.] 20/03/2017

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni