.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 22 Machi 2017

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHAKUTENGENEZA NA KUKARABATI MELI CHA MAURITIUS

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Bibi Veroniqu Gorrioch kuhusu utengeneza na ukarabatiwa meli, pantoni na boti wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza na kukarabati meli, pantoni na boti cha Contier Naval Del' Oceaniindien Limited (CNO 1 Company Limited) cha Mauritius Machi 21, 2017. (Picha na Ofisi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kwanda cha kutengeneza na kukarabati meli, boti cha pantoni cha Contier Naval Del' Oceaniindien Limited (CNO 1 Company Limited) cha Mauritius Machi 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni