Nyoka nusura azue kizaa zaa kwenye
ndege baada ya kuchomoka kwenye mzigo wa mmoja wa abiria katika ndege
iliyokuwa ikielekea Anchorage, Alaska.
Nyoka huyo aliachwa na mwenyewe
ambaye alikuwa amebeba nyoka kadhaa wa kufugwa katika safari yake.
Abiria walielezwa juu ya uwepo wa
nyoka huyo kwenye ndege na rubani, na kuambiwa kuwa nyoka huyo
alikuwa hana madhara yoyote.
Nyoka huyo wa njano mwenye urefu wa
futi sita alionekana na mtoto mmoja ambaye alipanda juu ya kiti.
Muhudumu wa ndege akiwa amemshika nyoka huyo


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni