Rubani aliyekutwa akiwa amelewa
kwenye chumba cha kuongozea ndege kabla ya kuanza safari nchini
Canada amekiri kosa la kuzidi na kilevi.
Rubaini huyo Miroslav Gronych
alikutwa akiwa amelala kwenye kiti cha rubani huku alama za urubani
kwenye sare yake zikiwa zimegeuzwa juu chuni.
Baada ya kufanyiwa kipimo cha
kilevi, imebainika kuwa rubani Gronych alikuwa amezidisha mara tatu
kiwango cha pombe mwilini.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni