Picha za watu wanaotarisha maisha
zinaonyesha abiria wa treni nchini Bangladesh, wakipanda treni
iliyojaa na kuning'ingia nje pamoja na kukaa juu ya treni wakati wa
kuondoka katika Jiji la Dhaka.
Wanaume na wanawake na watoto
wamekuwa wakipanda juu ya treni futi 12, wakihaha kutafuta nafasi ya
kusafiri katika safari ambao inaaminika kuwa ni ya hatari mno
wakirejea nyumbani baada ya kazi.
Abiria wakiwa juu na wengine wakiwa wamening'inia pembeni, ni bahati kuwahi kiti
Teni ikiwa katika mwendo wa kasi huku abiria wakiwa juu wamepozi bila wasiwasi wowote




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni