Kwa sasa, juhudi za Rais Dkt. Magufuli kufufua huduma bora na za uhakika
katika Mashirika na Makampuni ya Umma zinazidi kuleta *Matokeo
chanyA+*
Kampuni Simu ya TANZANIA -TTCL ndiyo kampuni pekee inaongoza kwa sasa kwa kutoa huduma za intanet bora na za uhakika.
Rais wangu... *mzalendo na mchapakazi..*
Nchi yangu...
*Matokeo chanyA+*
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni