.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Aprili 2017

KINGDOM HERITAGE PRESENTS DISCOVER YOUR POTENTIAL

Kampuni ya KINGDOM HERITAGE imeandaa event inaitwa "Discover Your Potential" ni event yenyewe wazungumzaji wahamasishaji katika mambo ya mipango,maendeleo,ndoto na maono na ujasiliamali.

Watakuwa wakizungumza mambo kadhaa yatakayotukumbusha kutambua uwezo wetu tulio nao kila mmoja wetu kwa ulivyo na mahala ulipo na namna ya kuutumia uwezo huo ili kufikia Malengo, Mipango, Ndoto na Maono kila mmoja.

Ni Jumapili wiki hii ya 30 April 2017 katika Kanisa la Living Water
Centre Kawe Kuanzia saa 9:00 mchana.Usipange kukosa! ni Bureee!

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni