Andros Townsend wa Crystal Palace akifurahia goli lake la kuongoza dhidi ya Arsenal katika mchezo wa ligi kuu England ulichezwa usiku wa kuamkia leoWenger mkataba wake unaisha mwisho wa msimu huu na ameshaahidiwa kuongezewa mkataba wa miaka miwili ingawa bado hajafanya maamuzi yake ya mwisho.
Magoli ya Andros Townsend, Yohane Cabaye na Luka Milivojevic yalitosha kabisa kupelekea Arsenal kupata kipigo cha nne wakiwa ugenini.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni