.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Aprili 2017

MABONDIA ANTHONY JOSHUA NA WLADIMIR KLITSCHKO WAPIMA UZITO

Zoezi la kupima uzito kwa ajili ya pambano kubwa la uzito wa juu duniani katika dimba la Wembley limekuwa la mvuto mkubwa mno hii leo, kabla ya pambano lao kesho usiku.

Mabondia watakao pambana katika pambano hilo Anthony Joshua amemzidi uzito kwa tofauti ya kilo 4.5 mpinzani wake Wladimir Klitschko.

Klitschko, raia wa Ukrane ambaye alitawala uzito wa juu kwa muongo mmoja kabla ya kupigwa na Tyson Fury, anatarajiwa kutoa upinzani kwa Muingereza Joshua mwenye mkanda wa IBF.
Anthony Joshua akiwa amenyanyua mkono mmoja juu huku amekunja ngumi wakati akipima uzito
            Bondia Wladimir Klitschko akionyesha alama ya vidole viwili wakati wa kupima uzito 
Mabondia Anthony Joshua na Wladimir Klitschko wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni