.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 30 Aprili 2017

WAZIRI ABOUD AFUNGA WARSHA YA KUTATHIMINI KANUNI ZA AFYA KIMATAIFA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Abdalla akimkaribisha Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud kufunga warsha ya kutathmini kanuni za afya kimataifa katika ukumbi wa Hoteli ya Ocen View, (kushoto) Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Zanzibar Dk. Ghirmany Andermichal.
Kiongozi wa warsha ya kutathmini kanuni za Afya kimataifa kutoka (WHO) AFRO Dk. Ambrose Jalisuna akitoa muhtasari wa taarifa ya awali ya tathmini waliyoifanya Zanzibar.
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Zanzibar Dk. Ghirmany Andermichal akitoa tarifa ya shirika hilo katika warsha ya siku tano ya kutathmini kanuni za Afya kimataifa iliyofanyika Hoteli ya Ocen View Kilimani Mjini Zanzibar.
Mgeni rasmin Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud akifunga warsha ya siku tano ya kutathmini kanuni za Afya kimataifa Zanzibar iliyofanyika Hoteli ya Ocen View Kilimani Mjini Zanzibar.
Mgeni rasmin Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud akifunga warsha ya siku tano ya kutathmini kanuni za Afya kimataifa Zanzibar iliyofanyika Hoteli ya Ocen View Kilimani Mjini Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku tano ya kutathmini kanuni za Afya kimataifa wakifuatilia ufungaji wa warsha hiyo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni