Jana Mei Mosi 2017, umefanyika uzinduzi wa kampeni ya "Ng'arisha Nzengo, Uchafu Nuksu" inayoratibiwa na 102.5 Lake Fm Mwanza @lakefmmwanza #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo.
Kampeni inalenga kuhamasisha jamii kuweka mazingira katika hali ya usafi muda wote huku Wananzengo wa minadani wakipata fursa ya kipekee. Endelea kuitegea sikio 102.5 #LakeFm Mwanza kwa burudani na habari zaidi.
@bmghabari @gbpazzo ©Ng'arishaNzengoUchafuNuksi√√√√
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni