Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la
Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na
wajumbe wa Baraza lake pamoja na Wadau wa Kampuni ya Afritrack ambayo
iliwasilisha katika kikao hicho Mfumo wa Ulipaji wa Tozo wa Papo kwa
Papo kwa kutumia mashine za umeme. Picha zote na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Afritrack, Subel Sharif (kushoto) wakati alipokua anawasilisha mada katika kikao cha Wajumbe wa Baraza hilo, kuhusu Mfumo wa Ulipaji wa Tozo wa Papo kwa Papo kwa kutumia mashine za umeme. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Mafunzo na Uenezi wa Baraza hilo, Henry Bantu wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Afritrack, Subel Sharif (hayupo pichani) wakati alipokua anawasilisha mada katika kikao cha Wajumbe wa Baraza hilo, kuhusu Mfumo wa Ulipaji wa Tozo wa Papo kwa Papo kwa kutumia mashine za umeme. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni