Mwanamke mmoja nchini Singapore
amefungwa jela wiki 30 kwa kuwarekodi kwa siri wanawake wenzake
kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha mazoezi (gym).
Mwanamke huyo, Heng Li Ying, 29,
aliingia makubaliano na kuuza picha hizo anazorekodi kwa mtandao
mmoja wa kijamii.
Mtuhumiwa Heng Li Ying alikiri
mashtaka matatu ya kuingilia usiri wa wenzake kwa kuwarekodi
wakibadilisha nguo bila ridhaa yao.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni