Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang
aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo
na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao
Zhang aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang
aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni
wake Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao
Zhang mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na mgeni wake wake Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang wanne kutoka (kushoto) Gavana wa Benki
Kuu (BOT) Profesa Beno Ndulu, wapili kutoka kulia, Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt. Philip Mpango watatu kutoka kushoto pamoja na ujumbe wa
Mkurugenzi huyo wa IMF.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA
IKULU
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni