.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 23 Mei 2017

UKAME WAATHIRI UPATIKANAJI WA MAJI KATIKA MJI WA CAPE

Mkoa wa Cape ya Magharibi ya Afrika Kusini, umetangaza kukabiliwa na janga la ukame wakati ukikabiliwa na uhaba mkubwa wa maji kuwahi kutokea tangu miaka 113 kupita.

Mkuu wa Mkoa huo, Helen Zille, amesema watalazimika kuchimba visima kwa ajili ya kupata maji ya kutumika katika maeneo muhimu ya mji wa Cape zikiwemo hospitali.

Tahadhari hiyo itadumu kwa miezi mitatu, lakini inaweza kuongezwa muda iwapo ukame utaendelea.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni