.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 20 Julai 2017

ALVARO MORATA AWASILI JIJINI LONDON KUKAMILISHA UHAMISHO WAKE

Mshambuliaji Alvaro Morata amewasili Jijini London akiwa na mkewe Alice Campello kukamilisha uhamisho wake wa paundi milioni 70 kuhamia Chelsea.

Morata ambaye amefunga ndoa hivi karibuni, amenukuliwa akisema anafuraha kufanya kazi na kocha wa Chelsea Antonio Conte.

Morata amesema amemuaga kocha wake Zinedine Zidane pamoja na mchezaji mwenzake Gareth Bale jana wakati wa mazoezi.
                                Alvaro Morata akimuaga kocha wake wa Real Zinedine Zidane 
                                      Alvaro Morata akimuaga mchezaji mwenzake Gareth Bale

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni