.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 24 Julai 2017

BEKI BENJAMIN MENDY ATUA MAN CITY NA KUWA BEKI GHALI ZAIDI DUNIANI

Beki Benjamin Mendy amekamilisha uhamisho wa paundi milioni 52 kutoka Monaco na kutua Manchester City na kuwa beki ghali duniani.

Beki huyo wa kushoto wa Ufaransa mwenye miaka 23 ametia saini mkataba wa miaka mitano na Manchester City.

Mendy anakuwa mchezaji wa tano kusajiliwa na Manchester City katika kipindi cha usajili cha msimu wa joto ambapo wametumia paundi milioni 200 hadi sasa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni