Mchezaji nyota duniani Cristiano
Ronaldo amebadilisha msimamo wake kuhusiana na mustakabali wake wa
baadaye na kuamua kubakia Real Madrid.
Rais wa Madrid, Florentino Perez,
amekiri kuwa Ronaldo alikuwa amechukizwa na tuhuma za mamlaka za
Hispania kuwa alikwepa kulipa kodi ya paundi milioni 12.9.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni