Timu ya Manchester United imeishtua
tena Chelsea kwa kutishia kutaka kuingia katika ushindani wa kumwania
Tiemoue Bakayoko.
Baada ya kuipiku Chelsea kwa
mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku, United imeiambia klabu ya
Monaco imejiandaa kutoa zaidi ya paundi milioni 40 kwa beki huyo.
Timu ya Chelsea imekuwa ikitakiwa
kuongeza dau la kumtwaa Bakayoko, ambapo Monaco inataka kupewa kitita
cha paundi milioni 37 lakini imekuwa kimya.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni