.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 10 Julai 2017

MH. WILLIAM NGELEJA ARUDISHA MILIONI 40.4 ALIZOPEWA NA MFANYABIASHARA JAMES RUGEMALIRA

Mbunge wa Sengerema, Mh. William Ngeleja amerudisha katika Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA ) kiasi cha shilingi milioni 40.4 alizokuwa amepewa na kuingiziwa katika akaunti yake na mfanyabiashara Jame Rugemalira. 

Katika taarifa yake mbele ya waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari hii leo, Mh Ngeeleja amesema kuwa fedha hizo aliingiziwa katika akaunti yake na mfanyabishara huyo tarehe 12/02/2014.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni