.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 18 Julai 2017

MWANAMKE ATAFUTA NA MAMLAKA SAUDI ARABIA KWA KUVAA KIMINI HADHARANI

Mamlaka nchini Saudi Arabia inachunguza video ya msichana mmoja aliyoiposti ikimuonyesha akiwa amevalia sketi fupi na blauzi yenye kuonyesha sehemu ya tumbo akiwa kwenye eneo la umma.

Video hiyo imeibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya jamii, huku baadhi wakitaka msichana huyo aitwaye Khulood achukuliwe hatua, akamatwe kwa kuvunja Sheria kali za mavazi ya Kiislam.

Wanawake nchini Saudi Arabia wanalazimika kuvaa mavazi yasiyobana ambayo ni marefu yanayofunika maungo yao yajulikanayo kama "abayas" pamoja na kufunika kichwa wawapo maeneo ya umma.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni