.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 22 Julai 2017

MWANAMUZIKI AFANYIWA UPASUAJI KICHWANI HUKU AKIPIGA GITAA

Mwanamuziki wa India amefanyiwa upasuaji kichwani huku akipiga gitaa ili kuwasaidia madaktari kuweza kutibu tatizo la misuli yake ya vidole kujikunja.

Mwanamuziki huyo Abhishek Prasad aliambiwa na madaktari kucheza gitaa kila walipokuwa wakitumia umeme kupiga shoti ubongo wake kutibu tatizo lake hilo.

Hali hiyo husababisha maumivu makali pale misuli inapoamua kujikunja na kuvifanya vidole kuwa katika hali isiyoyakawaida. 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni