Wanajeshi 16 wamekufa baada ya ndege
ya jeshi la Marekani kuanguka katika jimbo la kusini la Mississippi
hapo jana.
Tukio hilo la kuanguka kwa ndege
limetokea katika kaunti ya LeFlore, kilomita 160 kaskazini mwa mjii
mkuu wa jimbo la Mississippi wa Jackson.
Watu wote waliokufa ni wanajeshi wa
Marekani waliokuwa kwenye ndege hiyo iliyolipuka silaha ilizobeba
angani na kuangukia kwenye shamba la soya.
Ndege ya jeshi la Marekani iliyoanguka ikiwa imeteketea kabisa huku moto ukiendelea kuwaka
Vikosi vya kutoa msaada wa dharura vikiwa vimewasili katika eneo la ajali
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni