RAIS DK. SHEIN AONDOKA NCHINI LEO NA KUELEKEA UINGEREZA KWA ZIARA MAALUM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali alipokuwa akiondoka nchini leo na Ujumbe wake kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili,[Picha na Ikulu.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud alipokuwa akiondoka chini leo akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi pamoja Viongozi mbali mbali alipokuwa akiondoka nchini leo na Ujumbe wake kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili [Picha na Ikulu.] 06/07/2017.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni