.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 22 Julai 2017

TAJIRI ROMAN ABRAMOVICH ATOA BARAKA KWA MATIC KWENDA MAN U

Roman Abramovich ametoa ruhusa kwa Nemanja Matic kujiunga na Manchester United lakini Chelsea wataongeza kiasi kidogo cha ada kilichobatizwa jina la “kodi ya Lukaku”.

Matic ameambiwa matamanio yake ya kuhamia Old Trafford na kuungana na kocha Jose Mourinho yatapata baraka katika kuonyesha nia nzuri ya Chelsea kwa mchezaji huyo.

Abramovich amelazimika kuingilia kati kama alivyofanya kwa kipa Petr Cech alipohamia Arsenal mwaka 2015 wakati Mourinho akiwa kocha wa Chelsea, akipinga uhamisho huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni