|
Mrakibu
wa Polisi Mkoani Tanga (SP),Bahati Ngoli akifungua mafunzo ya jinsi ya
kushughulika na watoto walio katika ukinzani na Sheria leo ulioandaliwa
na chama cha wanasheria wanawake Tanzania (Tawla) Mkoani Tanga kwenye
ukumbi wa Hotel ya Nyumbani mjini Tanga |
Mratibu wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga (Tawla) Latifa Ayoub akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo leo
|
Juma Abdallah kutoka Tawla Mkoani wa Tanga akitoa mada kuhusu wajibu wa familia na jamii kuzuia uhalifu wa watoto |
Mwanasheria wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga,Adolphina Mbekinga akizungumza wakati akiwasilisha mada ya mfumo wa haki jinai kwa watoto Tanzania na Taratibu zak
|
Mratibu wa dawati la Jinsia na watoto Mkoa wa Tanga akizungumza katika mafunzo hayo |
|
Mkuu
wa kituo cha Polisi Chumbangeni Mkoani Tanga, Mrakibu Msaidizi wa
Polisi,ASP Saidi Mwagara akifuatilia taarifa mbalimbali wakati wa
mafunzo hayo. |
Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP),Bahati Ngoli kushoto akichuchukua mada mbalimbali
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa Polisi wilaya ya Tanga (OCD) akifuatiwa na Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi hilo (SSP) Emanuel Minja
|
Mratibu
wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga (Tawla) Latifa
Ayoub kulia akifutilia masuala mbalimbali kwenye semina hiyo |
Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP),Bahati Ngoli akifuatilia kulia ni Hakimu Mkazi Mfawidhi Aziza Lutalla
Mkuu wa kituo cha Polisi Chumbageni Mkoani Tanga,Saidi Mwagara kushoto ni Mwendesha Mashtaka wilaya ya Handeni,Selemani Kawambwa wakifuatilia mafunzo hayo
|
Hakimu Mkazi Hilda Lyatuu kulia katikati ni Wakili wa Serikali Rebecca Msalangi wakifuatilia mada mbalimbali kwenye semina hiyo |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni