Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katika akisisitiza jambo kwa Muuguzi wa Afya wa Zahanati ya Nguvumali baada ya kuizindua kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo,Dkt Ally Bughe Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akizungumza katika uzinduzi huo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa na kulia ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nguvumali na wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF)Alhaj Mussa Mbaruku Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF)Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza katika halfa hiyo Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nguvumali akizungumza katika hadhara hiyo kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga,Alhaj Mussa Mbaruku Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi Mayeji akizungumza katika halfa hiyo Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akisalimiana na madiwani wa Jiji la Tanga mara baada ya kuwasili katika zahanati hiyo kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapa Selebosi Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kushoto katikati ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akipanda mti wa kumbukumbu mara baada ya kuzindua zahanati hiyo leo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akipanda mti kwenye zahanati hiyo mara baada ya kuzinduliwa na Waziri Ummy.
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo
Wananchi wakifuatilia uzinduzi huo
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo
Msanii wa maigizo mkoani Tanga ,Dkt Njau akionyesha umahiri wake katika uzinduzi huoHabari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni