.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 4 Agosti 2017

DK.SHEIN AKUTANA NA BODI YA WAKURUGENZI YA MFUKO WA BARABARA,UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIAPANGO NA UONGOZI WA MFUKO WA BARABARA


DSC_8244000
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Unguja leo,wakati wa kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Barabara na Uongozi wa Mfuko wa Barabara,kilichozungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji
DSC_8258000
Katibu NMkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) akiwa na Viongozi mbali mbali wakati wa kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Barabara na Uongozi wa Mfuko wa Barabara kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo chini ya Mwenyekiti, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
DSC_8277000
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Barabara Bw.Mwalimu Haji Ameir (kulia) alipokuwa akitoa maelezo ya Bodi yake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Barabara na Uongozi wa Mfuko wa Barabara kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,(kushoto) Mkurugenzi Mtendaji Mwalimu Ali Mwalimu (kushoto).
DSC_8285000
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Nd,Ali Khamis (kulia) alipokuwa akifafanua jambo wakati wa kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Barabara na Uongozi wa Mfuko wa Barabara kilichofanyika Ukumbi wa I,kulu Mjini Unguja leo Chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Khali Salum Mohamed (kushoto),[Picha na Ikulu] 03 /08/2017.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni