.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Agosti 2017

IGP AFANYA KIKAO NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU NA WAKUU WA VIKOSI NA VYUO

1
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akitoa maelekezo kwa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya Polisi nchini katika kikao kazi cha maelekezo kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katika kikao kazi hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya kazi kwa weledi ili kuweza kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ya kuwa na Tanzania salama isiyo na uhalifu.
2
Mkuu wa Utawala wa Makao Makuu ya Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Leonard Paulo, akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa kikao kazi cha Inspekta Jenerali wa polisi nchini IGP Simon Sirro na Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya Polisi nchini kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katika kikao kazi hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya kazi kwa weledi ili kuweza kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ya kuwa na Tanzania salama isiyo na uhalifu.
3Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Zarau Mpangule, akitoa mada wakati wa kikao kazi cha Inspekta Jenerali wa polisi nchini IGP Simon Sirro na Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya Polisi nchini kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katika kikao kazi hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya kazi kwa weledi ili kuweza kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ya kuwa na Tanzania isiyo na uhalifu.

Picha na Jeshi La Polisi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni