.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Agosti 2017

IGP SIRRO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MUFTI WA TANZANIA

1
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kulia) akizungumza na Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubeir (kushoto), alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya BAKWATA jijini Dar es salaam jana. IGP Sirro, alisema Jeshi la Polisi litaendelea kushirikiana na viongozi wa kidini katika kuimarisha amani nchini.
2
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kulia), akifurahia jambo na Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubeir (kushoto), alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya BAKWATA jijini Dar es salaam jana. IGP Sirro, alisema Jeshi la Polisi litaendelea kushirikiana na viongozi wa kidini katika kuimarisha amani nchini.
3
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (wanne kulia waliokaa), na Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubeir, wakiwa katika picha na baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu wakati alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya BAKWATA jijini Dar es salaam jana. IGP Sirro, alisema Jeshi la Polisi litaendelea kushirikiana na viongozi wa kidini katika kuimarisha amani nchini. Picha na Jeshi la Polisi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni