.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 21 Septemba 2017

DROO YA KOMBE LA CARABAO MAN U KUIVAA SWANSEA CITY

Manchester United itavaana na Swansea City katika mzunguko wa nne wa kombe la Carabao huku Chelsea wao wakipangiwa kuikaribisha Everton katika droo iliyochezeshwa.

Manchester City wao wamepagiwa kucheza na Wolves nao Tottenham wakiwakaribisha West Ham katika mchezo wa mafahari wa London.

Arsenal itacheza na Norwich City, wakati Leicester City ambao waliwatoa Liverpool ikikutana na Leeds United.

Bournemouth itakuwa mwenyeji wa Middlesbrough na Bristol City ikishuka dimbani kuvaana na Crystal Palace

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni