.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 19 Septemba 2017

RIO FERDINAND AAMUA KUJITOSA KWENYE UBONDIA

Baada ya kustaafu soka Rio Ferdinand amekuwa anajifua vilivyo kujenga mwili na misuli ili kuingia rasmi katika ulimwengu wa ngumi.

Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United anatarajia kupewa leseni yake ya kupigana ngumi na kuwania mkanda akisaidiwa na kampuni ya Betfair. 
                   Rio Ferdinand akionyesha mwili wake ulivyojengeka baada ya kupiga chuma 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni