.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Septemba 2017

SHIRIKA LA FOUNDATION FOR TOMORROW YATOA ZAWADI YA FEDHA MASHULENI



 Mkurugenzi wa shirika la Foundation for Tomorrow Melissa Queyquep akizungumza na wanafunzi wa shele ya Sekondari Naura juzi jijini Arusha baada ya shirika hilo kudhamini shindano la kuwasaka wanafunzi bora katika masomo ya Sayansi,Hesabu na Mawasiliano

Meneja Mafunzo ya stadi za Maisha Hilda Lema kutoka shirika la Foundation for Tomorrowa kulia akiwa katika picha ya pamoja mara baaada ya kumkabidhi mwanafunzi wa shule ya sekondari Arusha day zawadi ya fedha na cheti baada ya kuibuka mshindi katika shindano la kuwatafuta
wanafunzi bora katika masomo ya Sayansi,Hesabu na Mawasiliano

Mkuu wa wa shule ya Sekondari Lemara Mkoani Arusha Risala S. Juma akiwa katika picha ya pamoja na mwanafunzi wake wa kike kidato cha Nne shule ya Sekondari Lemara Victoria Kira aliyefanya vizuri katika somo la Sayansi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni