Mshambuliaji nyota wa Tottenham
Harry Kane hatoweza kushuka dimbani kesho dhidi ya Manchester United
hapo kesho kutokana na kuwa na maumivu ya misuli ya kwenye paja.
Kane alifunga magoli mawili wakati
Tottenham ikiifunga Liverpool magoli 4-1 jumapili, kabla ya kutoka
nje katika dakika ya 88.
Mshambuliaji huyo wa timu ya taifa
ya Uingereza kwa sasa anaongoza kwa kufumania nyavu katika Ligi Kuu ya Uingereza akiwa na magoli
nane.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni