Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Nyakato nje kidogo ya jiji
la Mwanza mara baada ya kufungua kiwandaa cha Sayona Drinks ltd
kilichopo Nyakato.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Katikati ya jiji la Mwanza
wakati akitokea Nyakato.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga makofi wakati mmiliki wa Kiwanda cha Sayona Drinks
Subhas Patel alipokuwa akionesha bidhaa mojawapo ya kiwanda hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga makofi pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli
pamoja mbunge wa Ilemela Angelina Mabula wakati Kwaya ya Makongoro
ilipokuwa ikitumbuza katika viwanja vya Mwatex Nyakato jijini Mwanza
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni