Akizungumza na Mwandishi wa habari hii Mkurugenzi mtendaji wa shirika hilo lenye ofisi zake Jijini Dar es salaam Ndugu Francis Kiwanga alisema kuwa kwa miaka kumi na tano ya uwepo wake nchini wamefanikiwa kufanya kazi na Asasi zisizopungua elfu tano nchini ikiwa ni mafanikio makubwa kwa shirika hilo lililojumuisha asasi tofauti.
Nakupa nafasi ya kumsikiliza mkurugenzi wa shirika hilo akieleza kwa undani,kazi walizozifanya kwamiaka 15,changamoto walizopitia nma mipango ya kuendelea kuihudumia jamii kwa sasa.
https://www.youtube.com/embed/qGdi8600QtM

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni