Jumatatu, 25 Desemba 2017
WAZIRI MKUU AKEMEA MAKUNDI MANISPAA YA SONGEA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa Onyo kwa watumishi wa umma na Madiwani wa Manispaa ya Songea kwa kuweka mbele maslahi yao binafsi na akawataka wajirekebishe mara moja.Ametoa onyo hilo jana (Jumamosi, Desemba 23, 2017) wakati akizungumza na watumishi wa manispaa na madiwani kwenye kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Songea, mjini Songea Mkoani Ruvuma (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni