.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 22 Januari 2018

MEMPHIS DEPAY AIDHIBU PARIS ST GERMAIN ILIYOBAKIA NA WACHEZAJI 10

Memphis Depay ameiadhibu Paris St Germain iliyokuwa imebakia na wachezaji 10 dimbani na kuisaidia Lyon kuibuka na ushindi wa magoli 2-1.

Nabil Fekir alikuwa wa kwanza kuwafungia wenyeji goli zuri la mpira wa adhabu baada ya dakika mbili tu za mchezo lakini Layvin Kurzawa akaisawazishia PSG.

Vinara wa Ligi Kuu ya Ufaransa walibaki 10 baada ya Dani Alves kuonyesha kadi nyekundu kwa utovu wa nidhamu.
           Memphis Depay akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuizamisha PSG
Mshambuliaji wa PSG Mbappe akigongana na kipa wa Lyon na kujikuta akitolewa nje baada ya kuumia

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni