.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 20 Januari 2018

SERIKALI YA JAPAN YAAHIDI KUENDELEA KUSAIDIA MIRADI YA UMWAGILIAJI NCHINI

Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaharu Yoshida akiweka jiwe la msingi shamba la mafunzo ya Uandisi,Ujenzi na Umwagiliaji la Oljoro wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha linalotumiwa na wanafunzi wa fani hiyo wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),kushoto ni Kaimu Mkuu wa chuo hicho,Dk Masudi Senzia


Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Masudi Senzia(kushoto) akimshukuru Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaharu Yoshida baada ya kuweka jiwe la msingi katika shamba la mafunzo ya Uandisi,Ujenzi na Umwagiliaji.


Miundombinu ya umwagiliaji kwenye shamba lenye ukubwa wa eka 150 litawezesha kupata wahitimu walioiva kivitendo 


Baadhi ya wanachuo wakitoka kwenye darasa la mafunzo kwa vitendo.

Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaharu Yoshida(katikati) akifatiwa nyuma na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Masudi Senzia kukagua bwawa linalotumika kwaajili ya kukinga maji ya mvua na kuyatawanya kwenye mashamba ya mafunzo.
Mkurungezi wa Elimu ya Ufundi nchini,Mhandisi Thomas Katebelirwe akizungumza katika halfa hiyo.

Makamu Mkuu wa Chuo cha ATC anayeshughulikia Utawala,Fedha na Mipango,Dk Erick Mgaya akizungumza umuhimu wa shamba hilo ambalo litasaidia kuwapata wataalamu waliobobea nchini katika fani ya umwagiliaji.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni